WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWALD LOWASSA (CHADEMA) KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS
katunzi890
Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA)
wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo
(CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho