Dkt.Magufuri aapisha rasmi jana

MHESHIMIWA Dkt John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Sherehe ya kuapishwa kwake imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania. Sambamba na kuapishwa Rais Magufuli, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhus Hassan pia ameapishwa.

Post a Comment

Previous Post Next Post