KD:HATIMAYE LULU ATOKA KWA DHAMANA.....

 

Breaking News : Msanii Maarufu Lulu Michael aanayekabiliwa na tuhuma za mauaji ya Msanii mwenzake Steven Kanumba amepata dhamana leo.Baadhi ya masharti aliyopewa Lulu ni pamoja kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani,kuripoti mahakamani na wafadhili kuweka bondi ya Shilingi mil 20

Post a Comment

Previous Post Next Post