MAtokeo ya Michezo ya raundi ya pili ya kusaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia
Matokeo ya Michezo ya raundi ya pili ya kusaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia
Matokeo ya mechi zilizochezwa Jumanne ni kama ifuatavyo:Cameroon 0-0 Niger (Jumla 3-0)
Congo 2-1 Ethiopia (Jumla 6-4)
Nigeria 2-0 Swaziland (Jumla 2-0)
Ghana 2-0 Comoro (Jumla 2-0)
Misri 4-0 Chad (Jumla 4-1)
Ivory Coast 3-0 Liberia (Jumla 4-0)
Tunisia 2-1 Mauritania (Jumla 4-2)
Afrika Kusini 1-0 Angola (Jumla 4-1)
Burkina Faso 2-0 Benin (Jumla 3-2)
Senegal 3-0 Madagascar (Jumla 5-2)
Mali 2-0 Botswana (Jumla 3-2)
Tanzania 0-7 Algeria(jumla 2-9)
Kenya 0-2 Cape Verde(jumla 1-2)
No comments
Post a Comment