HIACE YATUMBUKIA BAHARINI, YAUA WAWILI
DAR ES SALAAM WATU wawili wamefariki dunia baada ya kutumbukia baharini
wakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Hiace iliyokuwa imebebwa ndani ya
Kivuko cha MV Kigamboni, Dar es Salaam. Tukio hilo la kusikitisha
lilitokea jana, wakati kivuko hicho kikipakia abiria katika kituo cha
Magogoni. Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, Brown Mwakalago aliiambia
MTANZANIA kuwa lilitokea saa 10 alfajiri ambapo mmoja wa waliofariki
dunia ni dada yake, Nice Mwakalago (52) mkazi wa Tukuyu mkoani Mbeya.
Akisimulia tukio hilo, Mwakalago alisema walitoka Mbeya kuja Dar es
Salaam
No comments
Post a Comment