Ni Simanzi na Majonzi vimetawala kwenye tasnia ya habari na burudani baada ya kufariki kwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ambae alifariki Feb, 26, 2019 Afrika Kusini ambapo alipokuwa akipatiwa matibabu.
No comments
Post a Comment