MORRISON ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA YANGA Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF) imesema Bernard Morrison ameshinda kesi yake dhidi ya Yanga Sc na
ataendelea kuwa mchezaji huru baada ya mapungufu kukutwa kwenye mkataba
baina ya Yanga Sc na Morrison.
No comments
Post a Comment