Header Ads

Header ADS

Kuingia katika Mfumo kukamilisha maombi ya sensa

 Baada ya kujisajili katika mfumo wa kuomba maombi ya sensa unatumia email na neno siri ambalo unaweza ukaingia katika mfumo ili kukamilisha maombi ya sensa kwa kupakia fomu ambayo imesainiwa na kufanya mabadiliko ya taarifa zako.ili kuingia katika mfumo unatakiwa uandike taarifa zako za email na neno siri kwa umakini haswa katika upande wa neno siri kwani kuna mfanganyiko wa herufi na tarakimu mbalimbaili mfano EF!@hgh%-yu hizi ndo zinawachanganya watu katika kuiziandika na kukosea.

Cha kufanya ni kuingia katika email yako na kukopi hilo neno siri mfano EF!@hgh%-yu alafu kufungua mfumo mfumo wa sensa na kuanza kujaza email yako kisha upande wa password kuweka zile ulizokopi kupitia email yako(kupesti neno siri) alafu kubonyeza neno ingia.



No comments

Powered by Blogger.