Dkt.Magufuri aapisha rasmi jana
MHESHIMIWA Dkt John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa
Serikali ya Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa kipindi
cha miaka mitano ijayo.
Sherehe ya kuapishwa kwake imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania. Sambamba na kuapishwa Rais Magufuli, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhus Hassan pia ameapishwa.

No comments
Post a Comment