hatimaye Taifa stars yatinga fainali za mataifa ya afrika kwa wachezaji wa ndani (chan) baada ya kuifunga sudan kwa goli mbili kwa moja (2-1), Magoli hayo kwa upande wa Taifa stars yalifungwa na Erasto nyoni na itram Nchimbi. hongereni Taifa Stars
No comments
Post a Comment