majina ya wanafunzi waliopata mkopo batch 1 and 2 2019/20

Wanafunzi 30,675 waliopata mikopo awamu ya kwanza

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 30,675 wa Mwaka wa Kwanza kwa mwaka wa masomo 2019/2020 waliofanikiwa kupata mikopo yenye thamani ya TZS 113.5 bilioni.
Katika mwaka huu wa masomo, Serikali imetenga TZS 450 bilioni zinazolenga kuwanufaisha jumla ya wanafunzi 128,285. Kati yao, zaidi ya wanafunzi 45,000 ni wa mwaka wa kwanza na wengine 83,285 ni wenye mikopo wanaoendelea na masomo. Mwaka 2018/2019, fedha zilizotengwa na kutolewa zilikua TZS 427.5 bilioni na ziliwanufaisha jumla ya wanafunzi 123,283 wakiwemo 41,285 wa mwaka wa kwanza.

kuona orodha ya majina ya wanafunzi waliopata mkopo bonyeza link hapo chini
Majina ya mkopo 2019/2020 batch 1
Majina ya Mkopo 2019/2020 batch2

Post a Comment

Previous Post Next Post