standard four, form two and form four result 2019/2020





Matokeo ya Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne yametangazwa leo Baraza la Mitihani la Taifa (Necta)



matokeo ya Darasa la nne                  Form two result 2020                 Form Four result 2019/2020

                                                  Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde akitangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili iliyofanyika 2019. Matokeo hayo yanapatikana kwenye tovuti ya NECTA.



Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.



Katika matokeo hayo yaliyotangazwa leo Alhamisi Januari 9, 2020 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema ufaulu katika mtihani wa upimaji wa darasa la nne umeongezeka kwa asilimia 26.21.


Jumla ya watahiniwa 1,531,120 kati ya wanafunzi 1,665, 863 wamepata alama A,B,C na D ikilinganishwa na wanafunzi 1,213, 132 waliofaulu mwaka 2018.

Katika mtihani wa upimaji kidato cha pili, wanafunzi 514,251 sawa na asilimia 90.04 kati ya wanafunzi 571,137 wamefanya vizuri katika mtihani huo na kuwawezesha kuingia kidato cha tatu.






Kuna maelezo ya ziada hapa.
IMG-20200109-WA0032.jpg
IMG-20200109-WA0031.jpg
IMG-20200109-WA0030.jpg
IMG-20200109-WA0029.jpg
IMG-20200109-WA0028.jpg
IMG-20200109-WA0027.jpg
IMG-20200109-WA0026.jpg
IMG-20200109-WA0024.jpg
IMG-20200109-WA0023.jpg
IMG-20200109-WA0022.jpg
IMG-20200109-WA0021.jpg
IMG-20200109-WA0020.jpg
IMG-20200109-WA0022.jpg
IMG-20200109-WA0017.jpg
IMG-20200109-WA0014.jpg
IMG-20200109-WA0013.jpg







  •  

Post a Comment

Previous Post Next Post