historia fupi ya Hayati JPM

  HISTORIA  JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI



 John Pombe Joseph Magufuli (29 Oktoba 1959 - 17 Machi 2021) alikuwa rais wa tano wa Tanzania, akitokea katika chama cha CCM. Aliongoza kwa miaka mitano na nusu hadi kifo chake.


Tarehe 12 Julai 2015 alichaguliwa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi akiwa na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan.

Tarehe 29 Oktoba 2015 Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilimtangaza kuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ushindi wa kura 8,882,935 sawa na 58.46% pamoja na makamu wa rais Samia Suluhu Hassani.

Alikuwa Mchapakazi haswa katika kuipeleka Tanzania mahari fulani katika njozi zake,kwani alifanikisha kukamilisha miradi mbalimbali katika taifa hili la Tanzania adi kulifikisha katika Uchumi wa kati.

Pia alikuwa mtu ambaye apendi kuvumilia viongozi wake aliwateua kufanya makosa kwa uzembe alikuwa mkali sana.Na mcheshi sana alikuwa anawapenda watu wote rika mbalimbali.

Alipambana na Janga la kidunia CORONa  kwa mtizamo tofauti,pia alikataa ktumia chanjo ya korona,ambayo ilikuwa na side effect na kuwahimiza watu wajikinge na wapige nyungu na wamuombe mungu pia kwani hakuna ugonjwa wowote ambao mungu akiamua kukuponya unapona kikubwa imani tu.Na kumeongezekwa kwa mataifa mbalimbali Duniani kusitisha matumizi ya chanjo ya korona,hili Mhe hayati John P. Magufuri aliliona Mbali sana,mda huu tunaona nchi kama ujerumani,italia n.k zimesitisha chanjo ya korona.

Mawazo yangu kwa WHO,waipitie vizur hiyo chanjo kabla ya kuwapa watu katika nchi kwani kuna side effect zinatokea au wanafanya Biashara.tunataka chanjo ambayo itakufa less side effect n effective sio bla bla tu

Na hii ndio miradi ambayo Mh. Hayati John P. Magufuri ameifanya yenye 

Nyota imekamilika na isiyo na nyota bado haijakamilika

1.*Daraja la kijazi (Ubungo interchange)

2.Treni ya umeme (SGR)

3.*Kufufua Air Tanzania 

4.Huduma bora za afya

5.Daraja la KIGONGO-BUSISI

6.Daraja la salenda(Waterway bridge)

7.Rufiji HEP PROJECT 

8.Terminal 3 Internation airport

9.Vituo Bora vya Afya

Na miradi mengine ambayo aijaainishwa hapo,Jasiri kapamba kwa uwezo wake,wakati tu ni ukuta Kaiacha Tanzania katika majonzi makubwa mno..Tunamwombea kheri na afya njema raisi wetu wa sasa Mama Samia S. Hassani aiongoze Nchi hii mahari pazuri zaidi ya hapa tulipo kwa sasa amen.

                                 Mungu mbariki Raisi wetu,

                              Mungu ibariki Tanzania,

                                 RIP  JPM.

Post a Comment

Previous Post Next Post