KUAGWA KWA HAYATI JOHN POMBE MAGUFURI
KUAGWA KWA HAYATI jOHN POMBE MAGUFURI
Mwili wa Mpendwa wetu hayati Dr. John P. Magufuri Umeagwa Dar es Salaam kwa Siku mbili unategemewa kuagwa tena hapo kesho Tarehe 22/03/2021 Katika makao Makuu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania(Dodoma) nakesho kutwa Tarehe 23/03/2021 utarudishwa Zanzibar kwa ajiri ya kuagwa na watu wa visiwani huko pia utaenda mwanza kuagwa huko nakumalizia kijijini Tarehe 26/03/2021rasmi kwa ajili ya safari yake ya mwisho hapa Duniani.napenda kuwapa pole Rais wa JMT Samia S. Hassani na watanzania wote mungu Atutie nguvu katika kipindi kigumu hiki cha mapito.
RIP JPM
RIP JPM
RIP JPM
RIP JPM
No comments
Post a Comment