HABARI CHID BENZ AHUKUMIWA JELA MIAKA MIWILI AU KULIPA FAINI YA LAKI 9

#HABARI CHID BENZ AHUKUMIWA JELA MIAKA MIWILI AU KULIPA FAINI YA LAKI 9

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rashidi Abdallah Makwaro Maarufu kama (Chid Benzi) amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini ya shingili laki tisa bada ya kupatikana na hatia ya makosa matatu ikiwemo kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroin yenye thamani ya sh. 38,638, bangi ya sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia daw

a hizo kijiko na kigae.

Post a Comment

Previous Post Next Post