Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lupumba amejiuzulu nafasi ya Mwenyekiti chama hicho
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lupumba amejiuzulu nafasi ya Mwenyekiti chama hicho kwa madai kuwa UKAWA wameshindwa kusimamia makubaliano waliyokuwa wameyafikia, hivyo yeye atabaki kuwa mwanachama wa kawaida wa CUF.....Taarifa kwa kina itakufia hapahapa endelea kutembelea Mtandao huu
No comments
Post a Comment