Tanzania Yatinga Hatua Ya Makundi kujiandaa kushiriki kombe la dunia
Hatimaye Taifa stars yatinga hatua ya Makundi baada ya hapo jana kuifunga Burundi ktika ngazi ya penati,katika kusaka tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2022 kwa ushindi wa
penati 3-0 kufuatia sare ya bao 1-1 katika mchezo wa marudiano
uliomalizika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.huku katika upande wa taifa stars ikishinda penati zote na burundi kukosa penati zote.hongereni Taifa stars,hongereni Tanzania kwa ushindi mzito.
No comments
Post a Comment